Hahaha umeamua kukaa njia kuu mkuu!Baby natetema aaah nahisi baridi
Nataka kukuona kuja unifariji
Mwenzako sisikii sioni am lonely baby please call me
Mwenzako sisikii sioni am lonely baby please call me
Ka mood tu mzee.. hapa nimeisha lala alone alafu kuna ka upweke flani hivi ukizingatia mechi za nje is no more🥲🥲
Nimeona hapa dunia kama tunajilisha upepo hakuna kipya mzeeHahaha umeamua kukaa njia kuu mkuu!
Aisee; hongera sana
Nimeona hapa dunia kama tunajilisha upepo hakuna kipya mzee
😅😅 hao 72 sound.. huko si itakuwa mbingu ya mnyanduano mzee.. mda wote watu itakuwa ni kupasha motoBora utulie zako usubirie wale bikra 72 tu!
Wamemuone tu binti wa watu, hana makuu na mtu.. huyu shangaziWamempiga pin uku! Hanaga mbamba huyo
Kwaiyo mzee ndo umeamua kula wali maharage tu? Bila kubadilisha mboga kwa maisha yaliyosalia haya.😅😅 hao 72 sound.. huko si itakuwa mbingu ya mnyanduano mzee.. mda wote watu itakuwa ni kupasha moto
Binafsi nimeamua hivyo, hakuna aina ya maku sijaila.. kuangaika mwisho wa siku nimpelekee mke wangu magonjwa maana wengine team peku.. nimeridhika mengine tunavumilianaKwaiyo mzee ndo umeamua kula wali maharage tu? Bila kubadilisha mboga kwa maisha yaliyosalia haya.
Dah I wish!
Wanatukosesha tazama vizuriWamemuone tu binti wa watu, hana makuu na mtu.. huyu shangazi
Huo mkokoteni tu Sina aisee😀au nipe mkataba wa boda Basi nami nihame huku Kama National Anthem
Binafsi sinaga unafiki ila acha lipite hili.. ila vimtu vingine kama vichawi kujiona kumbe furushi tu.. watamuachia tu aunt yetu.. pamepoa kinomaWanatukosesha tazama vizuri
Mie nampenda sana mke wangu, kila nikipata jaribu.. nakuwa kama naisikia sauti yake..to be honest Nahisi Mimi mpaka nipinde mgongo kabisa ndo ntakoma
Na uzee huu nitaweza wapi miye mambo yenu Vijana 🤪Leo umeona umtoe out mtoto wawatu😅😅😅
aunt Yako ana nyota kali Sana.Binafsi sinaga unafiki ila acha lipite hili.. ila vimtu vingine kama vichawi kujiona kumbe furushi tu.. watamuachia tu aunt yetu.. pamepoa kinoma