Hapo labda ni muulize National Anthem lakini Antonnia walaaaa[emoji41]Hakuna Cousin, mbona mimi sina Antonnia hana Ankol National Anthem hana hata kiduku mpapaso na Kapachino naye hana. Kawaida kabisa utapazoea tu taratibu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unataka kuniua kwa presha eehπ€Bro Jack Palladino naomba ruhusa ya shem lenie kuja wavuvi asafishe kichwa kidogo π
Nimeshamaliza π³Goja nije kukulisha
Jirani za weekend?Salam kwenu wote
Salama kabisa jirani, unaendeleajeJirani za weekend?
We kweli sijaona. Yawezekana tuko 2 tu hapa[emoji16]Kasoro mimi
Hapana bro nitamchunga vizuri weww kazi yako ni kupiga video call mda wote na hatuzi mi dataUnataka kuniua kwa presha eehπ€
Sawa muulize Ankol National Anthem ... namalizia yale mazoezi naja Cousin πHapo labda ni muulize National Anthem lakini Antonnia walaaaa[emoji41]
Salam kwako mkuuSalam kwenu wote
π€¨π€¨π€¨π€¨Nimeshamaliza π³
Pale wahuni wengi nitaibiwa bure!Hapana bro nitamchunga vizuri weww kazi yako ni kupiga video call mda wote na hatuzi mi data
Hakuna mwenye pesa kukuzdi WwkakaPale wahuni wengi nitaibiwa bure!
π π π wanakutisha tu..Hapo labda ni muulize National Anthem lakini Antonnia walaaaa[emoji41]
Poa kabisa mkuu..Salam kwako mkuu
Unakalibisha weekend ukiwa wapiPoa kabisa mkuu..
Kwa kweli. Nakusubiri mwenyeji wangu unipitishe mitaaSawa muulize Ankol National Anthem ... namalizia yale mazoezi naja Cousin [emoji41]
Kijijini. Napalilia mihogo mkuu.Unakalibisha weekend ukiwa wapi