raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,861
- 36,962
Alafu inaonesha ana adabu
π π π mbelee ya mzigoo mzito dollar kama dollar goti linapigwaa tu na anafanya unachotakaAlafu inaonesha ana adabu
Kamepokea na kamepiga magoti π
Nimekasifu ni kajambazi kenye akili ππ π π mbelee ya mzigoo mzito dollar kama dollar goti linapigwaa tu na anafanya unachotaka
π π π π kajiongeza kisomiNimekasifu ni kajambazi kenye akili π
Mwingine ananyakua tu alafu unasikia tutawasiliana ππ π π π kajiongeza kisomi
Hongereni sana, sisi wakati wetu ilikuwa humwambii kitu Mwalimu kuhusu Kilimo.Ongera sana sisi vijana wa mkapa tupo biz na biashra
Acha kutupa Wazee vishawishi na unajua Pension tumeambiwa itatoka Mwakani π€ͺ
Naona unataka kumrithi Swahiba wako Wigelekelo π€π π π ulimbo wa nini huo
Na sisi tu akuja uko ukoHongereni sana, sisi wakati wetu ilikuwa humwambii kitu Mwalimu kuhusu Kilimo.
Leo hii tumezeeka lakini hatujaacha Kulima π€ͺ
Na mimi leo nipo kijiweni kwangu hapaYou only live once, and the way I live, once is enough![emoji4]View attachment 2528773
Ukinisubiri Mimi utakua kama Osama[emoji16]View attachment 2528541
Antonnia nimeanza fuga udevu wangu.. sinyoi hadi mjomba wangu aje [emoji28][emoji28][emoji28] au aunt sophy27 Aje aninyoe
5 na 8 [emoji7]Ukweli wa Maisha
Ukweli nambari 1:
Hakuna mtu halisi katika ulimwengu huu isipokuwa Mama.
Ukweli no. 2:
Masikini hana marafiki
Ukweli Na. 3
Watu hawapendi mawazo mazuri wanapenda sura nzuri
Ukweli no 4:
Watu wanaheshimu pesa sio mtu.
Ukweli no 5:
Mtu unayempenda zaidi, atakuumiza zaidi!
Ukweli nambari 6:
Ukweli ni Rahisi, Lakini, Wakati unajaribu Kuuelezea. Inakuwa Ngumu.
Ukweli no 7:
Ukiwa na furaha unafurahia muziki" lakini "unapokuwa na huzuni, unaelewa maneno"
Ukweli no 8:
KATIKA MAISHA Mambo mawili yanakufafanua "
subra yako" wakati huna kitu na "Mtazamo wako" wakati una kila kitu..
Msalimie huyo wa pembeni yako hapoYou only live once, and the way I live, once is enough![emoji4]View attachment 2528773
Wavuvi kempuπ π πNa mimi leo nipo kijiweni kwangu hapa
Why number 55 na 8 [emoji7]
Ahaaa zimefikaπ
Nitakusubiri maana hakuna namna kama nikowa osama 2 fresh π πUkinisubiri Mimi utakua kama Osama[emoji16]