National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
π π π ππππNikilaliabkitanda Cha gold nitaamka kweli aunt πππ
Babu yangu!! π€£π€£π€£
π π π ewe mwanadamu ukifika mda mtaambiwa mchungaji ni naniBabu yangu!! π€£π€£π€£
Hebu kuwa na adabu kwa mume wangu wewe binadamu!
Ila hicho kitengo umetupatia kabisaaa, sie ni watunza fedha waaminifu kabisa.
Hebu subiri kwanza mchungaji atakuwa nani?
Naanza kesho ππ€¨π€¨π€¨π€¨π€¨ anza wewe kufunga mchana
Ukichoka sana utaniambia nikusaidieNaanza kesho π
Nkamu heshima kwakoπ ππππ
Mambo Yako hayoπ
Bado naswampa na cheti changu cha TEKU.. siku nikila shavu hamto niona humu π π πMambo Yako hayoπ
ππMbona mm napika ugali tu hapa home hakuna shida πBado naswampa na cheti changu cha TEKU.. siku nikila shavu hamto niona humu π π π
Nikaribishe nije kula nimechoka kweli kama pakashume π π πππMbona mm napika ugali tu hapa home hakuna shida π
Niko mbali aunt yangu mbona ningekukaribishaNikaribishe nije kula nimechoka kweli kama pakashume π π π
Umechoka kubeba vyeti ama πNikaribishe nije kula nimechoka kweli kama pakashume π π π
Upo jannatul firdaus nini π π πNiko mbali aunt yangu mbona ningekukaribisha