Haikuui lakini inakutesa๐Kwani radhi anau ๐ฅธ๐ฅธ๐ฅธ
๐ ๐ maswa nitanenepaje ndio hadi kuna siku nasahahu kama nimekula au lah.. hadi nikumbushwe.. goja nije kula huko mnavu na kitimotoKipindi cha ndoa lazima unenepe kaka sio Kwa mrembo yule๐โค๏ธโ๐ฅ๐โค๏ธโ๐ฅ
Fanya urudi basi ukikonda zaidi ya hapo nitakusahau ujue.๐๐
Kuna ka upepo hivi kamepita.. badae watakuja tuHaikuui lakini inakutesa๐
Mbona hili jukwaa limepoa siku hizi jamani?
Unajua jinsi ulivyoukifungua kanisa utapata waumini wengi sanaโฆhususani wadada๐๐๐๐Kuna kipindi tunahitaji huruma asee๐ ๐
๐ ๐ ๐ ๐ mdada wa kwanza utakuwa wewe, pili mungoza sifa Antonnia watatu Bantu Lady wa nne Dahan alafu tutafanya usajiri sophy27 .. Mzee wa kanisa Shimba ya BuyenzeUnajua jinsi ulivyoukifungua kanisa utapata waumini wengi sanaโฆhususani wadada๐๐๐๐
Kwamba Uko buzy/mazingira hujayapenda au huna jibu.๐๐ ๐ maswa nitanenepaje ndio hadi kuna siku nasahahu kama nimekula au lah.. hadi nikumbushwe.. goja nije kula huko mnavu na kitimoto
Hee kama kuna kaupepo kalipita basi tuishie hapa๐Kuna ka upepo hivi kamepita.. badae watakuja tu
Umetaja wadada wote wazuri zuri kasoro chakorii..so kwenye list nitoe hukawii kula kondoo wewe๐๐๐ ๐ ๐ ๐ mdada wa kwanza utakuwa wewe, pili mungoza sifa Antonnia watatu Bantu Lady wa nne Dahan alafu tutafanya usajiri sophy27 .. Mzee wa kanisa Shimba ya Buyenze
Kweli, sili chakula kinachopikwa na mtu yoyote, ndio maana nahisi mwanzo wa ndoa nilinenepa mda wote nilikuwa home, vyakula navyokuwa kwa amani kilichopikwa na mama yangu, mke, na watu wachache sana.. na hata kwenye migahawa mwanza nzima huwa nakula sehemu tatu tu.. hadi nakula chakula alichopika mtu nimme kilizisha kwa mengi sana ๐ ๐ ๐ ๐ huku nashindia maji zaidi..Kwamba Uko buzy/mazingira hujayapenda au huna jibu.๐
Inaonekana unachangua sana kaka.
Kitimoto na mnavu vimeshaisha
๐ฅธ๐ฅธ๐ฅธ mie sio wa kula kondooo.. nakula mbuzi tuUmetaja wadada wote wazuri zuri kasoro chakorii..so kwenye list nitoe hukawii kula kondoo wewe๐๐
Unazingua ww๐ndiyo af jana sijakuona aki ulipotelewa wapi
๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐ mdada wa kwanza utakuwa wewe, pili mungoza sifa Antonnia watatu Bantu Lady wa nne Dahan alafu tutafanya usajiri sophy27 .. Mzee wa kanisa Shimba ya Buyenze
Nilijua unanitania siku ile๐๐kumbe kweli aiseeโฆpole sana kwa mtindo huu kaka lazima ubaki kichwa๐๐๐Kweli, sili chakula kinachopikwa na mtu yoyote, ndio maana nahisi mwanzo wa ndoa nilinenepa mda wote nilikuwa home, vyakula navyokuwa kwa amani kilichopikwa na mama yangu, mke, na watu wachache sana.. na hata kwenye migahawa mwanza nzima huwa nakula sehemu tatu tu.. hadi nakula chakula alichopika mtu nimme kilizisha kwa mengi sana ๐ ๐ ๐ ๐ huku nashindia maji zaidi..
au sio aunt ya ukweli sophy27๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐kichwa chako muone๐ฅธ๐ฅธ๐ฅธ mie sio wa kula kondooo.. nakula mbuzi tu
Hukawii kukusanya sadaka ukaenda kununua simu๐Mm nitakuwa mtunza kapu la Sadaka๐
Nipo hivyo toka mdogo kwenye selection ya mkono wa mtu ambae nitakula chakula chake. Sili chakula kilichopikwa na yoyote.Nilijua unanitania siku ile๐๐kumbe kweli aiseeโฆpole sana kwa mtindo huu kaka lazima ubaki kichwa๐๐๐
basi kama ni hivyo tafuta apartment yenye kila kitu ndani then tafuta mtu awe anakupikia hapo ulipo