Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi hapo shida ni baridi au tu watu wanapenda kulowekana πŸ˜€πŸ˜€
Babu sikuhiz ni kutembea na store ya vipimo πŸ˜‚
Hayo mambo ya kulowekana ni ya Vijana zaidi, mimi Babu yenu huwa nahitaji Blanket tu kuweza kuishinda baridi πŸ€ͺ

Tahadhali ni vyema kuchukuliwa, vinginevyo mtashindwa kufikia Umri wa Babu yenu hapa πŸ€—
 
Hiyo ilinikuta Njombe ndani ndani huko, nilikaa siku 3 lakini nikahisi nimekaa mwezi mzima.

Yaani asubuhi unapewa maji ya moto kabisa kuweza kunawa uso lakini huhisi kuungua [emoji119]
Njombe kule si ndio maana hata ukimwi uko juu maana kutokana na ile hali ya hewa wanapigana para mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…