kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,873
Chakorii Chakorii[emoji2222]
View attachment 2523013
Chakorii Chakorii[emoji2222]
View attachment 2523013
Ukwaju umekosekana
Usimoe simu na pc unaharibu
Sema huku makazi mapya kwa kinyamwezi sana
Uje kututembelea basi ☺️Sema huku makazi mapya kwa kinyamwezi sana
Ni [emoji91]
Saaafii ankoli
Nishapika nimetia onion na sukar na chumviUko na nyama?weka carrot,hoho,onion(julian style),soy sosi,salt and pepper….ningekuandikia mengi lakini kwa sasa hivi haya yanatosha
MmeoteaGGMU[emoji4]View attachment 2523174
Tunasubilia ushind wetu leo yanga ningekuwa good ningeenda kuangaliaGGMU[emoji4]View attachment 2523174
Ila Lizzy 😂😂😂
Baby Jack Palladino umeona chombo hiki?[emoji2222]
View attachment 2523013
Nakuja chap shem darling😊
Na ukiwa unamkubalia kucheza 🃏🎲 basi umemaliza!!!Tena ntakuwa napika naye stori kama zote [emoji1787]
Hawezi kunifukuza
Na mchana nilikula 🍪 na ☕️ tu.Ila Lizzy 😂😂😂
Me hapo saa 5 mbali, usingizi utakuwa umekata. Njaa hii hapa inakwangua balaa