Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Weka na mboga za majani😃
Nimeona uvivu 🙈🙈Weka na mboga za majani😃
Loooh kumbe we ni baba tiyari daaah asee mi ni mdogo sana basiView attachment 2520025
@Dr lizz unamuona kijana wangu leo katimiza miezi 3
Chakula cha mtoto wa class 5 kidogo hivyo loooh watu hamna matumbo sio 🤣🤣
Usha anza mapema ivyoKazi na dawa![emoji1634][emoji4]View attachment 2520493
Paka wako huwa humwogeshi/kumnawisha uso?
Paka wako huwa humwogeshi/kumnawisha uso?
Paka wako huwa humwogeshi/kumnawisha uso?
Kazuri..Niwe namnawisha kila siku na kumpigisha mswaki 😂😂😂😂 umeoma hiyo alama nyeus puan kazaliwa nayo
Kazuri..
Unapendaga kumuita nani paka wako..🤓Asante
Aah, hapo sawaNiwe namnawisha kila siku na kumpigisha mswaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeoma hiyo alama nyeus puan kazaliwa nayo
Thanks Mjukuu, karibu tupalie mahindi huku shambani
Katika wanyama nimeshindwa kuwapenda ni pamoja na Paka.
Ndio mama ake alikuvuruga jana?View attachment 2520025
@Dr lizz unamuona kijana wangu leo katimiza miezi 3