AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,408
- 6,269
Kuna anayejua kucheza humu
Njombe hiiNi makete eeh?
Ndio chips hizo / french friesHata mm sijawahi kuviona shambani
Embu irudiwe
KomaaView attachment 2514645
Nimekuja kwa broo kuomba hela ya kula kumbe kuna POTI wakike wazuri aisee lazima nipate mmoja hapa siondoki hivi hvi


Bila picha hatukuelewi weka picha tukusaidie kuchagua😀View attachment 2514645
Nimekuja kwa broo kuomba hela ya kula kumbe kuna POTI wakike wazuri aisee lazima nipate mmoja hapa siondoki hivi hvi
Siunajua tena sie wabongo....hata ukipewa karibu tule ya uongo ushanawa mikono kabla hata mwenyeji hajamaliza sentensi 🙄mgahawani 😒😒😒
sawa tu..
wageni wamenilaza njaa
Cha msingi iwe na open kitchen + bathroom kubwa ili nisije kuiuza 😶🌫️😶🌫️ipo kwenye kabati, juu Chukua uitazame kama haifai.. utaanza kuchora upya 😒😒 mie nimechoka kila mala kuchora upya bana
Unakula music dr
Kidogo maana wametukatia umeme 😵😵Unakula music dr
Utakuja tu don't worryKidogo maana wametukatia umeme![]()
Nadhani nitafute mchumba huko Tanesco tu 🤔Utakuja tu don't worry
wageni siku ingine wasije .. wapeleke beach wakale miogo na Dr SalaaSiunajua tena sie wabongo....hata ukipewa karibu tule ya uongo ushanawa mikono kabla hata mwenyeji hajamaliza sentensi 🙄
Cha msingi iwe na open kitchen + bathroom kubwa ili nisije kuiuza 😶🌫️😶🌫️
Tafuta tu dr wapo wengiNadhani nitafute mchumba huko Tanesco tu![]()