Michezo yote hio anifanyisha my One and only kiiiinggggg🤸!Unakaa na mmoja kwan ulimzaa ww tafuta mapishi Sehem nyingine wandava tupo kwa ajili yako hilo guu na hilo trako kuna namna fulan la kulichezea linatibuka kwa juu hvi
weee Nishatupia nimekuita hapo unashamala tyuu!!Selfika basi au hujapata pipi ya kijiti wikiend nini 😂😂😂😂😂
ZimefikaMsalimie
naona unavyojisifia aisee kumbe mashangazi ndo type zakoUjambo ww binti wa yesu
kijana hashauriki huyoMshauri huyo kijana Carrasco putin
Nimekumickijana hashauriki huyo
miss you tooNimekumic
Carrasco putin unajua wewe ni ndugu yangu sasa hii sentensi embu iweke vizuri maana ina utata nwingi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mjini akili ww nihangaike kutafuta hela wakati kiuno ninacho ukilikatikia jimama huku unapeleka moto afu unazama uvinza likaluachia laki 2
Kijana unafeli wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu irudiwe ndugu mjumbe Antonniaweee Nishatupia nimekuita hapo unashamala tyuu!!
Daaah pole.kwa simu dah . Jamaa alikuwa amenipigia simu nikamjibu nipo church . Anapiga tu yeye .. Huyo mkewe kuangalia simu kaona namba yangu inapigwa frequently ndo akaamua kuja hewani kunitukana
Asante dear . Habari ya leo ?Daaah pole.
Ndio ukubwa huo [emoji16][emoji16][emoji16] mawardatDaaah pole.
Yuko Congo analinda amani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mume wa [mention]cocastic [/mention] alienda wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna kijana anaomba nimpe connection ya sugar mamy lol. Vijana bhanaaMjini akili ww nihangaike kutafuta hela wakati kiuno ninacho ukilikatikia jimama huku unapeleka moto afu unazama uvinza likaluachia laki 2
Kijana unafeli wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njema kabisa za kwako?Asante dear . Habari ya leo ?
nzuri sana mimi pia sipendi kutukanwa hata kugombezwa dah . Sema waja wana shida sana .Njema kabisa za kwako?
Mie naogopaga hayo mambo ya kutukanwa