Jaman mlale salamaaaa,muda wa kutafakari niliyoyafanya kwa siku nzima kurekebisha nlipokosea na kupumzisha mwili,muwe na njozi njema,wenye wake/waume/wachumba walolala pamoja kazi njema wale single muhesab mabati vzr hahahahha
Nawapendaaaaaaa
Mdogo wangu ungeanza wewe kisha mimi.
Haufiki tu
AhsanteeeeDuuh pole
Hivi umesahau mie ni mkweo we mtoto[emoji134][emoji134][emoji134]
Ahsante sana mkuuDuh!pole sana mkuu
!
Hivi umesahau mie ni mkweo we mtoto[emoji134][emoji134][emoji134]
Kaone!!Ai kwani akiwa mkweo ndiyo nini??
Ndio natumia halotel.Unatumia Halotel?? Hebu fanya mpango kule pm unitumie namba yako nikurushie vocha!!
Kaone!!
Oke oke.
Ka karma.Nikaone nini eti??
Avatar yako ni ππππOke oke.
Nimekuita piemuni umeshindwa kuja nimejitoa mhanga[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Awww for the firsrt tme in forever I'm seeing your photo,, daah baada ya miaka mia ya kubembeleza.. ubarikiwe sana mama hakika leo nitalala vizuri,, na hii picha naisave..
Ndio natumia halotel.