yule mdada hayupo sawa namuelekeza tu vizuri , haelewi na mie siwezi kufoka wala kutukana . Muda mwingine wanawake tunagombana kumbe me ndo mwenye kosa .

Hapana sio love hiyo ni uchoyo na ulimbukeni . Huyo mume asiwe na rafiki za ke .. Hapo unakuwa mke msumbufu utakuja kutukana watu sio mara kesho mume hana kazi