Selfika na JF: Snap it. Show it

Wacha tupunguze Stress za January πŸ€ͺ

Siamini kama uko nami bebi, Na mashoga zako wanadai nimekupa nini wee.

Wanatamani niachane nawe leo, Nini watafaidika wakiona niko mbali nawe.

Hawajui nimekupa nini we, Mengi tumepita siamini kama niko nawe leo x 2

You are so sweet, My sweet love Ooh Nanaa. Uko peke yako sina mwingine zaidi yako bebi x 2

A Song by Steve RnB - Sweet Nana


Guys, kumbe tupo kwenye Mwezi wa Mapenzi, nakuta Bibi yenu tangu Jana anacheza kwenye Santuri nyimbo nzuri nzuri za mapenzi (Za akina Mbaraka Mwinshee) na amezidi kuwa Romantic licha ya Umri wetu kuwa Umesonga πŸ€ͺπŸ€—.

Anafanya nirejeshe nyuma kumbukumbu za miaka ile ya 1978-79 namwacha mpweke wakati naelekea Vitani Kagera 😎

Hello February πŸ₯‚
 
Kupatwa kwa babuuuu hukuuu nyieeeeπŸ˜‚! Naona mahaba niteketrezeeeeeee nilegezeeeee hadi kwa nyiee wazeeeee jamaneeeeee🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Makubwa hayaaaa hahaaaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚kumbe granpa unajua kuimba hivi????πŸ€”πŸ€”πŸ€” ! cocastic njoo umuone babuuuu yakoo hukuu
Mpe Hongera sana na msamilie sana bibiiiiii ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️!!

Happy Love month granpaahhh!!
 


Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Yaniii humu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

unashobokea mtu kapost ma verses unajua kakutumia wewe kumbe ni dedication kwa watu wake wote alipwapanga humu khakhakhaaaa boraa kukaa kwa password tu sitrakiii mie!
Nifungulie password madam🀣🀣🀣🀣
 
Weee mimi humu nawawezea wapii mkuu!! Nimeridhika na nilienae sitaki hekahekaa zahumuuu kabesaaa!!
Nimeshangaa tyuuu naonaga huyo mzee hanaga habare za mapenzi kabisa kutwa kupost ng'ombe na mitumbwi tu kumbe nae anatelezaaa as usual hahaa!!
Kwa mitego yake Ile

Ushalegea wewe

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…