Hilo cheko linamaanisha nawe umelisoma kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asingetufia unadhani hali ingekuwaje? Ng'ombe na mbuzi wangeteseka sana.
Usiku huu kuna nyoka kidogo apite na mimi,bahati nzuri amepita pembeni yangu aisee,nisingekua na tochi ningemkanyaga
Picha picha picha wakuu
Nani tena ajiweke,yan kusikia nakuja chuga tayari anataka kujiweka!Mbona me mwenyewe kimbau mbau....haya jiweke
!Usiku huu kuna nyoka kidogo apite na mimi,bahati nzuri amepita pembeni yangu aisee,nisingekua na tochi ningemkanyaga
Weka wewePicha picha picha wakuu
😂😂😂😂😂 mwenye kisu ndio atakula nyama....c ndio venye mnasemaga 🏃Nani tena ajiweke,yan kusikia nakuja chuga tayari anataka kujiweka!
Akuuu mie sijawaza ujinga[emoji23][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo usiniambie umewaza ujinga??
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]hapa tu katufia lakini ng'ombe na mbuzi wanateseka!!
Na Mungu atubariki dada.....Naomba uishie kuangalia tu, ila kumbuka huanzia kwenye kuangalia.
Ninaamani[emoji7]View attachment 1267815
Zipo huko nyuma kaangalieMitaa yako hii naona.
Bado sijakutana na picha yako😀
Jina lako gumu