Nikipata 6M itanifaa kwa kuanziaUnahitaji nini ili utimize ndoto zako za kujiajiri na ni shughuli gani hiyo.
Okay ntumie account number yako ya benki.Nikipata 6M itanifaa kwa kuanzia
Biashara si ya pub ndio italipa watu kila saa wanapata kiu na hili joto la huku Mbagala nitapiga hela sana
Dk 0Okay ntumie account number yako ya benki.
Nimeota ulikuwa kwenye mizagamuano na Carrasco putin katika kuinyonya koni ukaing'ata yote na kuinyofoa koni yake mpaka sasa naogopa kabisaaa!umeotaje nihadithie
hahahaha jamani wewe Putin na mie wapi na wapi .. Alivyo young anataka watoto wabich aka wanachuoNimeota ulikuwa kwenye mizagamuano na Carrasco putin katika kuinyonya koni ukaing'ata yote na kuinyofoa koni yake mpaka sasa naogopa kabisaaa!
Young? Carrasco putin ana miaka 39 kasoro mmoja agonge arobaini unasema Young? Amekupita miaka 4 maana wewe si una 35.hahahaha jamani wewe Putin na mie wapi na wapi .. Alivyo young anataka watoto wabich aka wanachuo
mbona anaonekana young . Aise kumbe Putin ni mzee . mie bado njiani kuelekea 30Young? Carrasco putin ana miaka 39 kasoro mmoja agonge arobaini unasema Young? Amekupita miaka 4 maana wewe si una 35.
Morning 🌞🌄Good morning ☕️View attachment 2499907
And to you BeverlynGood morning [emoji477]️View attachment 2499907
Wacha tuunge tu hivyo hivyo[emoji16][emoji16][emoji16] Wigelekelo
Tuache zitutoe mafua
@Beverlyn umemuona mkubwa kazi Wigelekelo
Huyo mchokozi mchokozi tu 😄😄@Beverlyn umemuona mkubwa kazi Wigelekelo