Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila mfollow back huo ndio upendo wa kweli unajua faida ya kumfollow mtu hata akibadili username bdo unamuona vizuri mfano hai ni juma mpemba Rumaiya yna2 a.k.a Ms cee
Mi hata sitaki kuona mambo ya babu yetu humuuuu
! Nimfollow ili nigundue nini mie sitrakiii
 
Mi hata sitaki kuona mambo ya babu yetu humuuuu
! Nimfollow ili nigundue nini mie sitrakiii
My boss lady tangu enzi zile unaanza join JF na avatar zako zile za vipensi najua huna baya na mtu ni mkarimu mwalimu mwenye masters yake hupendi stress wala manyanyaso! Embu fungua mtima wako umkabidhi babu funguo za moyo wako autibu kwa busara za uzee wake na hekima ya umri wake akupende na kukutunza kwa usawa wa uzuri wako na mwisho tunajua umeanza kucheza tena vicoba na bado unadaiwa marejesho kila mahali embu acha babu atibu hilo tatizo la kipesa Antonnia
 
Hahaha Vicoba My sweetdaddie ashamaliza trabu zoteeee!! Hio ni mali ya bibi tyu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz muheshimu babu yetu kwanzaaa!!!
Unajua fika mie Humu nishashindwaga kitrambo sana sitaki rudia tena makosaaaa hekaheka zenu sio ndogo humuuuu binafsi sezeweziiiii
 
Bora uzima maisha ni matokeo tyuuuuuu!! Abaki na pesa zake au awape wengine mie sitrakiii!!
 
Ila mfollow back huo ndio upendo wa kweli unajua faida ya kumfollow mtu hata akibadili username bdo unamuona vizuri mfano hai ni juma mpemba Rumaiya yna2 a.k.a Ms cee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kijana phaller sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…