Selfika na JF: Snap it. Show it

Uki charambe kumenimaliza kabisa nilisia uko wanakaaga mifugo [emoji23][emoji23][emoji23]
Daah watu wa ushuani mna mazarau 😂
Kwani wewe uko wapi

Boda boda si zipo nafika mjini chap.
Niambie basi nianze kutoka au
 
Daah watu wa ushuani mna mazarau [emoji23]
Kwani wewe uko wapi

Boda boda si zipo nafika mjini chap.
Niambie basi nianze kutoka au

Nipo hapa sinza palestina

Boda boda si utafika sura imepauka kisa vumbi mamy?

Kwanini usichukue bolt?
 
Shida ni huko charambe mzeee [emoji23][emoji23][emoji23] atakuja na wezake 30 wakat mimi bajet yangu 20000 tunaenda kunywa maji ya dasani tu mpaka lita itimie [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣
Tutakuja jumla watano tu, hata sio wengi ila 20,000 asa itatoshea nini jamani
Si nitarudi home hata sijashiba nianze kupasha viporo
 
Siamini nimeoga vya bure [emoji23][emoji1787][emoji1787]

Huyu mtu kaniongezea huzuni maradufu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitumbua kimeingia mchanga[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787]
Tutakuja jumla watano tu, hata sio wengi ila 20,000 asa itatoshea nini jamani
Si nitarudi home hata sijashiba nianze kupasha viporo

[emoji23][emoji23][emoji23] au ukuje na kuku uwachukue pale kwa azizi ally af uwaweke kwenye mkoba [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…