habari ya asubuhi MkuuSalam kwenu wote
🥂Rule#4[emoji4]View attachment 2494589
nzuri tu wewe je , jumatano inasemajePoa kipenzi! Habari za uzima!
Iko cool tu kipenzi leo huku jua kama lote! Vipi huko??nzuri tu wewe je , jumatano inasemaje
kama huku yani jua kali kweli , hakuna hata raha ...Iko cool tu kipenzi leo huku jua kama lote! Vipi huko??
Huku Nyakibimbirii mara moja moja jua ndio linawaka kama hivi leo ila mara nyingi inakuaga kama ile ya juzii baridi hadi kitanda unahisi kama kimemwagiwa maji vilee😁! ukiwa pekeako sasa unahisi kudata 😁!!kama huku yani jua kali kweli , hakuna hata raha ...
Huu mkorogo unaitwaje kurlzawa[emoji119]View attachment 2495265
Nzuri sweethert mzima?Poa kipenzi! Habari za uzima!
Huku Nyakibimbirii mara moja moja jua ndio linawaka kama hivi leo ila mara nyingi inakuaga kama ile ya juzii baridi hadi kitanda unahisi kama kimemwagiwa maji vilee😁! ukiwa pekeako sasa unahisi kudata 😁!!
Mzima wewSalam kwenu wote
Aunt yangu mzuri mzuri😍Good eveningView attachment 2495480
Salama kabisa jiraniMzima wew