Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi ndugu mjumbe Antonnia Bantu Lady mbona hamuonekani au ndio mmepigwa pini na kina nanii
Huu mwaka

Kuna utoro sana humu jamvini

Alianza Depal nikamkukuta chocho za MMU huko kahamia

Akaja Kelsea yeye sasa kimasihara ndio kapangisha

Huyu wakuitwa Pau Bae kabadili dini na jina pia

Kiboko ni Lovelovie [emoji1787] kishakuwa msukule wa UMUGHAKA

Huyu Antonnia na Bantu Lady nawasemelea Kwa Mshana Jr

Haiwezekani tubaki na alosto



Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…