Selfika na JF: Snap it. Show it

weuweh na lips hapo zinasadifu . Enjoy jamami
To be the honest, nikiwa kwa dressing table, nikijitazamaaa had najisemeagaaaa anae nikulaaa anafaidiii, mie mzuriiii bhanaaa.

Jah kaninyimaa takooooo,. Yaan angenipaaaa trakoooooo dadekiii mbna Dunia yangu.


Mlinzi wa chuoni, akinionaaaa utaonaaa anasemaa "kumekuchaaaa" ashanizoeshaaa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…