Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama kuna uliyemtag akaona basi huo utakuwa muujiza kiufupi wewe bado sana malizia kwanza chuo alafu upate kazi ndio uanze kugombania pisi kali, kwa sasa subiri huruma tu [emoji23]

Afu mm sisomi [emoji41][emoji41]
Ni jobless toka nizaliwe sema mashangazi ya mjini Ndyo yananiweka mjini hapa[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
[mention]Grahams [/mention] mzee aliye staafu huku kaichia serikali hasara ya bil 8
πŸ˜‚πŸ˜‚ Wacha kusema kwa Sauti kuhusu hili, usije kufanya CAG anipe Hati Chafu Bure Wakati tumeitumikia hii Nchi kwa Uzalendo Mkubwa hadi kustaafu kwa Heshima Miaka 20 iliyopitaπŸ€—

Hujambo lakini?

Karibu Kijijini tulime πŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…