Hahahaaa.. ! Ulikua noma sanaa ndugu mjumbe! Yani kuna muda punda haendi bila viboko hakuna namna inapobidi tunavitumia!Unaujua muanzi wewe nilikua ndio kazi yangu kupeleka fimbo shule kwa hapo nilivyona fimbo nikakumbuka kitengo changu ujue
Shem si uko smartπ₯°
Shem si uko smart[emoji3059]
Pongezi nyingi kwa Yolly yolly, anajua kutunza
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Dogo unafeli unaona sshv vocha hazitumwi yote umesababisha ww jiongoze unakionea huruma kwan umekiumba ww
Mfyyyuuuuπ½π½π½Geuka basi nyuma Shem
Huku bomba shem, tunakula tu upepo wa bahariAsante Shem uko poa lkn masaki wanasemaje huko
Huku bomba shem, tunakula tu upepo wa bahari
Mfyyyuuuu[emoji89][emoji89][emoji89]
Na ni kweli sisi wengine bila fimbo ungekuta tulishapotea kwenye maishaHahahaaa.. ! Ulikua noma sanaa ndugu mjumbe! Yani kuna muda punda haendi bila viboko hakuna namna inapobidi tunavitumia!
Hello beautiful Antonnia niko poa kabisa. Kazi njena kipenzi ππππBantu Lady cocastic Tinsley Lovelovie Carrasco putin Poor Brain kiduku mpapaso kitalembwa Jack Palladino National Anthem Kapachino Poker Wigelekelo ERoni sumbai Valentina et al
Nawasalimu kwa jina la Selfika wapendwaaa.
Muwe na wakati mwemaβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee Usinambie [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]??? Mimi nimefanya nini hadi msitumiwe vocha tena humuu kwani??? Aisee sina taarifa ndio nasikia hili saii!!
Nijiongeze ili nigundue nini kipyaa nimekuuliza?? Toa laana zako mwehuu wewe![emoji16][emoji23]! Si una Yolly mwambie aje kujiongeza basii[emoji16]
Alipo National Anthem jua nami nipoInapendeza sana shem upo na [mention]National Anthem [/mention] [emoji35][emoji35][emoji35]
Nakusalimu kwa jina la jamuhuriHello beautiful Antonnia niko poa kabisa. Kazi njena kipenzi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Alipo National Anthem jua nami nipo
Salama wewe vipi? Uko poa kiduku mpapasoNakusalimu kwa jina la jamuhuri
Tutapambana tu [emoji2]Kabisa no way!
Sema master yupo Gado sana alipikwa akapikika kuanzia na Mama Monie hadi kwa yule maza mwingine wa kisukuma plus mganga wa kule unguja..na kupewa na hirizi juu mabangiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]! Mtamuweza kweli????[emoji16]
Nitoe dakika 5 wapi?? Za nini?? Mxxxxxxxiieewww!! NaonaUnshindwa kujiongeza binti kigor ona tunavyoteseka sasa kisa ww kwan ukitoa dakika 5 tu utapungukiwa nn
Niko poa kabisa@bantu ladySalama wewe vipi? Uko poa kiduku mpapaso
Ngoja tumsubiri tu tutafanyaje sasa!! Ila anakwama sana nawadeiz!!Tutapambana tu [emoji2]