Weee Mjep mbona ulikuepo Lol hujaonaa kweli????Madam usituache hivi hivi
Leo nimekosa selfie zako zootee
[emoji817][emoji817]Msijareeee kabisa keshooo nayo ni siku wapendwa kesho mapema sana ntawabless mr vouuchaaaa![emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Nimekosa madam nimeambulia manyoya tuu😭😭😭.
Weee Mjep mbona ulikuepo Lol hujaonaa kweli????
Amen na kwako pia mtoto usie kuwa na makuuMlale unono wapendwa, sidaiwi maana nimerudisha hadi chenji [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] muote ndoto nzuri. Mungu akipenda kesho [emoji111]
Huna Baya. Japo sijaona Ila Kaka yangu ERoni kaona Kwa niaba yangu.Mlale unono wapendwa, sidaiwi maana nimerudisha hadi chenji [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] muote ndoto nzuri. Mungu akipenda kesho [emoji111]
Ukoooo hapaaa??Poapoa usisahau kunitag!!
Nipo kwa niaba yakeUkoooo hapaaa??
Ukiona kama una utaratibu wa kulala mwenyewe utakuwa unajizungusha hadi morning mkuu🤣🤣
Tufanyie jambo mtoto wa maji maji songeaUkoooo hapaaa??
Hebuu tumuonee Jr.
Igweeeeee........
Huna Baya. Japo sijaona Ila Kaka yangu ERoni kaona Kwa niaba yangu.Mlale unono wapendwa, sidaiwi maana nimerudisha hadi chenji [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] muote ndoto nzuri. Mungu akipenda kesho [emoji111]
Nipoooo shoss angu nibless nirare vizurii kipenzi 😘Ukoooo hapaaa??
Ahsanteeeeeeeeeh
Umenikumbusha mbali kinoma ndo zilikuwa zangu izo! Apo na lichukua li move langu la Sparcutus.Siku flani nilienda kule sehem nyingi kuna WiFi Ila zipo slow sanaa asio Kama enzi zenu wazee wa torrents mnashusha series tuu SAA sita usiku UCC pale. Mnapigwa na mbu