Poapoa usisahau kunitag!!Hebuu subirii akilii inawazaa nyegeee hapa, ngoja nikirudi baadae.
Utafurahiii.
Kwa Aunt hamna?Hao Emish wana customer service nzuri sana
Niliwaza kunyoa nikaona noma! Navenye kichwa kimekaa kama mandonga hapaaa lol nikaahirishaππππππthank you love
wakati nywele inakubali π π
Weee mbona kama hazitosheiYeees kibungo
Katengeneze, nywele zako ndefu
Yeah wako vizuriwanajua anakudesign kichwa hicho .
hata kubana styles ni wazuri sana
kichwa kizuri hivyo jamaniNiliwaza kunyoa nikaona noma! Navenye kichwa kimekaa kama mandonga hapaaa lol nikaahirishaππππππ
Zinatosha hizo zakoWeee mbona kama hazitoshei
π€£π€£π€£π€£π€£π€£! Ningefanana na wanafunzi!!kichwa kizuri hivyo jamani
kwanza kidogo .
sipigagi ful mieTinsley Naomba nione full yako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!
Na msketi wangu mrefuuuuuuuππππ!!View attachment 2481952
Ungeweka curl tu hapoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£! Ningefanana na wanafunzi!!
Hahahaaa.... poapoa badae kipenzi!!βοΈβοΈsipigagi ful mie
ninayo moja tu na yenywe nilipiga kisa graduation π π
Ngoja nikomae hivohivo !!Ungeweka curl tu hapo
mchana mwema dearHahahaaa.... poapoa badae kipenzi!!βοΈβοΈ
hakika πNgoja nikomae hivohivo !!
Nakwako pia dia!mchana mwema dear
Helloowww babuu!!βοΈ!