Kwani nani sasa mwenye pesa za kusuka?? Mie nywele zangu huwa nabana mtindo mmoja kila siku hadi zinakatika humu pembeni yaani ungeona ninavyohangaika nazo kuzilazimisha zikuwe ungenicheka!!
Mimi bichwa langu kubwa halina chogo halafu lina mapembe,, tena ngoja nikafukue kapicha fulani hivi nilikapiga mwaka juzi wakati nanyoa nikalete hapa uone nilivyo na kichwa kibaya yaani natamani tena ninyoe ila daah..
View attachment 1266448