πππNaked kweri kweri aririririririiiiiiiiiii!! Hilo jicho hapoo huyo mpiga picha lazima alipagawaaaπππ!!
Mtoto lipss π Au Jichooo sasa mi hoiiiii πππ!
Wabheja sana kutubles kipenzi
Wewe ukiwepo jukwaa linachangamka ndugu mjumbeMungu ni mwema Huku tu bukheri wa afya pia Mjumbe nafurahi sana kuwaona kikaoni!
Mbarikiwe sana
usitupe uwe unaita mtu anakuja kulaπππ!! Unachezea chakula kumbe!!π€£Mie ugali siwezi maliza yaani naishia kutupa tu
mboga ikisha na ugali kwa heri .
Uwepo wenu ndio unachangamsha jukwaa Ndugu mjumbe kufurahi pamoja mara moja moja Inapendeza sana!βοΈβοΈWewe ukiwepo jukwaa linachangamka ndugu mjumbe
Yaani bora wali ukibaki unakula kesho .usitupe uwe unaita mtu anakuja kulaπππ!! Unachezea chakula kumbe!!π€£
Madam Leo uneselfika?Uwepo wenu ndio unachangamsha jukwaa Ndugu mjumbe kufurahi pamoja mara moja moja Inapendeza sana![emoji3577][emoji3577]
Ngoja tusubirie photoHalafu kuna muda Picha zinagoma kuaplodika sijui tatizo nini!!
Kwangu Picha zinagoma kuaplodika Dr!! Sijui ni mtandao wahuku Nyakibimbirii labda πππ€£π€£π€£!
Ndriiiooo ndrrriiioooo!! What a beautiful sis aririririririiiiiiiiiii πππππ!!
Hivi ERoniWee zako hutaki kushusha anza wewee basi!
π₯°π₯°π₯°Haya ccy ngoja nkale kwanza ugali wangu unapoaNdriiiooo ndrrriiioooo!! What a beautiful sis aririririririiiiiiiiiii πππππ!!
Mtoto mbichiiiiiiiii kabisa!!πππππSanto sana sis hakika usiku Wangu unaenda kuwa bareeeeeeeedaaaa kabisa!!
π₯°π₯°Sasa je
Chips hutakula tena?Ugali aisee
sasa hivi nitakuwa nasonga tu ugali ... chap chap ushaiva na unashiba mapema tu .
Kwahio umemuona Eroni tu π€π€π€!! Kama nimempenda toka moyoni sijareee wala neneee najua ni kazi/ majukumu tyuuuu! So do the needful ivoivooooo!!Hivi ERoni
Akikufuata akiwa mchafu mchafu
Utafurahia?
Yaani foleni kama yote
Nilivyochafuka sasa
Tupia tu niizoee foleni
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Barikiwa sana sis Uwe na wakati mwema!! Enjoy your meal πππππ₯°π₯°π₯°Haya ccy ngoja nkale kwanza ugali wangu unapoa
Mrembo yupo serious sa hvi jamani.....ππππSasa aunt Ugali unachelewa Kutoka ujue angeita mtu ili uwahi kutoka mrembo asivimbiweπ€£π€£π€£π€£!
Naachaje π π
Komaaaaaaa kibishiiii usikate tamaa πππππMrembo yupo serious sa hvi jamani.....ππππ