Ammiiinaaaa kubwaaa wa vipajiππππ€Έπ€Έ Wabheja sanaa make Glenn alishaanza kutaka kuniingiza kweusii mchana kweupeeeeπππ!!Kumekucha Glenn, huku kuna kamvua kiaina, kanahamasisha kutafuta pesa. Antonnia ni rafiki mwema, hana mambo meusi wala, tuendelee kufurahia humu mkuuπ€£π€£
Vipaji kama vipaji π€£π€£π€£π€£π€£ Selfika mko vizureeeeππ!!Asante kwa uongozi unaoacha alama wa vipajiπ€£π€£π€£
Thubutuuuu...na ukubwa wote huu khaa weehhh!! Najioshaa mwenyewe tena natakata vizuri tyuπUsijioshe acha walimwengu wakuoshe..
Barikiwa
Morning babegirl!! kumekucha hukooo??Morning Beautiful
Salama tu huku dear vipi nyie huko ?Morning babegirl!! kumekucha hukooo??
Huku njema sana kipenzi!Salama tu huku dear vipi nyie huko ?
Ahsanteeeeeeee!!!
Babuuu ndo hii uliniagiziaaa? Nlisema nataka JEEP mie.Hiyooo inasubiri kikokotoo[emoji7]View attachment 2474613
Nina blogu yangu inaitwaWigee Uandishi wa habari wa kujitegemea unautendea kazi ipasavyooo!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakii hio pepper ni nyookonanusuπ€£π€£π€£ππ! Inaharibuuu kila kitu!!Nina blogu yangu inaitwa
Pepper Newspaper
Mtajua hamjui
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ngoja nikamuenepoWigelekelo Kuna mrembo kulee nimekuita ukamkribishee na umchangamshe rafiki usiseme sijakuitaaa[emoji16][emoji16][emoji16]!
Habari
Nzuri.. mzima wewe mdadaHabari
salama na weweNzuri.. mzima wewe mdada
Mii niko poa.. vp jiji la joto hukosalama na wewe