Selfika na JF: Snap it. Show it

Aiseee hiyo avatar ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]kuna kipindi huwa natamani sana kunyoa ila sasaaaaa[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]nikiwazia kichwa changu hiki daah hongereni wenye vichwa vyenu vya kunyoa
Mama ukiwa huna pesa za kusuka mbona kichwa kinakuwa kizuri tu ukinyoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…