Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Mnaitana kistaraabu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ameanza mwaka kwa kishindo! Tuendelee kumsikiliza huyu mwamba ostaadhat!!
Ndyoooooo bestiee [emoji8][emoji8][emoji8]kweli kabisa tuwaone
Acheni kumzibia rizki huyu ostaadhat, huenda kuna lijamaa linameza mate, likiona mautani yenu linawaza kurudisha majeshi nyuma.Mnaitana kistaraabu sana
Ndoa yenu ni ya kupigiwa mfano
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Huyu ni mie kabisaaaa, [emoji120][emoji120][emoji120]
Bro mbona kama hujiamini?🤣🤣🤣🤣Hapana kwa huyu mtoto Bantu Lady nipo tayari kwa lolote!
Ushaanza uchawi wako sasa?? Em hukoooooooHii final year huchomoi wewe!
Nawatuliza vijana tu🤣Bro mbona kama hujiamini?🤣🤣🤣🤣
Natafuta reg# yako ole wako niipate🤣Ushaanza uchawi wako sasa?? Em hukooooooo
Nisichomoe why? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinitisheee puliiiiz, kazi na dawaa, kichwa kikipataa motoo natulizwa kwa kubembelezwaa, sasa nikiwa mkavu c ntakua chizi au mwenda wazimu, mweeeeeh.
Niombeee puliiizzzz lekchalaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee thubutuuuuu ntakufwaaaaaa.Natafuta reg# yako ole wako niipate[emoji1787]
Nitajie chap hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee thubutuuuuu ntakufwaaaaaa.
Em nikutajiee, wee mchizii wangu sanaaaa, najua utanivushaa ntakapo kwamaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah mkuu unatumia nguvu kubwa kujitutumua unaficha nini?Nawatuliza vijana tu🤣
Umeamkaje dearNdyoooooo bestiee [emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] seriously???Nitajie chap hapa
Nimeamka poaah,Umeamkaje dear
Uzuri hapa amefika mkuu🤣🤣🤣Aaah mkuu unatumia nguvu kubwa kujitutumua unaficha nini?
Yaani hata Bantu Lady hajakushtukia?
Najua muda si mrefi atasema wanaume wote ni mambwa🤣🤣🤣🤣
Babe Bantu Lady unamsikia huyu?Wanaume hatutumiagi nguvu kubwa hivyo unatuaibisha😂😂😂
ERoni
Mzima piaNimeamka poaah,
Vipi wee??