Selfika na JF: Snap it. Show it

@Chakorii ninekumiss pia, tena sana. Nimeona kitu kizuri juu huko, kitu kizuri kweli kweli.
Ohoooo….
😄😄 unamambo wewe….

Nikija nitakusaka huko ulipo nikutoa nikuone tu
 
Nakuambiaaaa mambo ya koffi olomide na mie wapi na wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ufanyee umpee beki 3 wako akatambe kwa mchumba ake boda boda huko.

Unavaa wee hvyo vipi?? Fashionista ya bi kidudee? Kwendraaa hukooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki mie akuuuuh
 
cocastic narara Kesho unikumbushe nikubless bablaiii! Jeeeessshiiiii!![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Mwenzio nilikua nainamishwaa na kukunjwa 7, hapa tumemaliza round 1 in 2 goals, mwenzangu anatafuta usingizi, mie naswampaaaaa mitandaoniiiiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wasio kuwa na wachumba wanawezajeeeee??? Mzagamuo ulivyo mtraaaamuuuui aririiiiiiiiiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…