Selfika na JF: Snap it. Show it

Kaka kichwa yako itakuwa imevurugwa na ile kitu uliniulizaga🀣🀣eti bwana anguπŸ˜†πŸ˜†yani wewe…

Shemeji yako mbappè amenifanya niupende mpira
Huku siyo kupenda ila umeingia mzima mzima na mabegi.
 
Nilikuepo wapendwaaa mrare unonooo!!
Magonjwa Hii Robo saaa nireee nne kamilii nimeze dawa kisha nirareeee love you guys ✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Babe babeeeeee πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Nilikuepo wapendwaaa mrare unonooo!!
Magonjwa Hii Robo saaa nireee nne kamilii nimeze dawa kisha nirareeee love you guys [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Shougaaaa hili gauni plz usivae tenaaa, staki kuwa mnafikiii
Khaaaaah uliletewaaa?? Unaniangushaaa bhanaaa aaaah.

Sijapentaaaaaaaaaa!!!
 
Sitakiiiiii shougaaaaaaa, wee gauni gauni hilooooo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km gunia bhana khaaaah
Weee mbona zuriiii mwenzio hapooo huniambii kitu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…