Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 5, 2023 #303,541 Lizzy said: View attachment 2469850 Click to expand... Kidole hakina Pete,basi sawa
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Jan 5, 2023 #303,542 kitalembwa said: Hujaenda kazn au Ni tbt sexy body Click to expand... ☺️☺️☺️ Ndo nasubiria kazi zijitokeze 🥴🥴
kitalembwa said: Hujaenda kazn au Ni tbt sexy body Click to expand... ☺️☺️☺️ Ndo nasubiria kazi zijitokeze 🥴🥴
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Jan 5, 2023 #303,543 Chukwu emeka said: Kidole hakina Pete,basi sawa Click to expand... Ntajinunulia basi.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jan 5, 2023 #303,544 Wanadamu wote wameshindwa , Yesu unaweza -Boaz Danken .
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 6,191 Reaction score 15,919 Jan 5, 2023 #303,545 Lizzy said: Ndo nasubiria kazi zijitokeze Click to expand... Njoo nikupe kazi
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,999 Reaction score 48,503 Jan 5, 2023 #303,546 mzabzab said: Wee mzushi tuu umenimiss wapi wakati pm umenichunia itakuwa umerudiana na yule jamaa yako mpaka unanisahau mie mzabzab. Kwema lakini mrembo? Click to expand... Jamani sijakuchunia nilipata mpya nimeachwa Tena njoo bas tupeane ubuyu😂😂😂yule single mother wako vipi amehamia tayari😂😂
mzabzab said: Wee mzushi tuu umenimiss wapi wakati pm umenichunia itakuwa umerudiana na yule jamaa yako mpaka unanisahau mie mzabzab. Kwema lakini mrembo? Click to expand... Jamani sijakuchunia nilipata mpya nimeachwa Tena njoo bas tupeane ubuyu😂😂😂yule single mother wako vipi amehamia tayari😂😂
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Jan 5, 2023 #303,547 kitalembwa said: Njoo nikupe kazi Click to expand... Gani?? Wapi?? Sh. ngapi???
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 6,191 Reaction score 15,919 Jan 5, 2023 #303,548 Lizzy said: Gani?? Wapi?? Sh. ngapi??? Click to expand... Hapa hapa mjini! Mkulima hachagui jembe tukakubaliana ukikuja
Lizzy said: Gani?? Wapi?? Sh. ngapi??? Click to expand... Hapa hapa mjini! Mkulima hachagui jembe tukakubaliana ukikuja
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Jan 5, 2023 #303,549 kitalembwa said: Hapa hapa mjini! Mkulima hachagui jembe tukakubaliana ukikuja Click to expand... Kuchagua muhimu. After all...siwezi kutumia kajembe kadogo kakulimia bustani kulima shamba. 😏
kitalembwa said: Hapa hapa mjini! Mkulima hachagui jembe tukakubaliana ukikuja Click to expand... Kuchagua muhimu. After all...siwezi kutumia kajembe kadogo kakulimia bustani kulima shamba. 😏
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Jan 5, 2023 #303,550 Antonnia babe unaendeleaje na hali yako? Unamisika 😍
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 5, 2023 #303,551 Lizzy said: Ntajinunulia basi. Click to expand... Hapana utakuwa umekosea sana,subiria wakati wenyewe ukifika....ukijinunulia kidole utakichosha sana
Lizzy said: Ntajinunulia basi. Click to expand... Hapana utakuwa umekosea sana,subiria wakati wenyewe ukifika....ukijinunulia kidole utakichosha sana
kiduku mpapaso JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 1,987 Reaction score 4,872 Jan 5, 2023 #303,552 Bantu Lady said: Antonnia babe unaendeleaje na hali yako? Unamisika Click to expand... Mgonjwa kawa kimya sana
Bantu Lady said: Antonnia babe unaendeleaje na hali yako? Unamisika Click to expand... Mgonjwa kawa kimya sana
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 6,191 Reaction score 15,919 Jan 5, 2023 #303,553 Lizzy said: Kuchagua muhimu. After all...siwezi kutumia kajembe kadogo kakulimia bustani kulima shamba. Click to expand... ishu sio kajembe ,,,mkulima awe anajua kukatumia tu utashangaa hekari kadhaa zimelimwa, kazi Kwako karibu
Lizzy said: Kuchagua muhimu. After all...siwezi kutumia kajembe kadogo kakulimia bustani kulima shamba. Click to expand... ishu sio kajembe ,,,mkulima awe anajua kukatumia tu utashangaa hekari kadhaa zimelimwa, kazi Kwako karibu
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Jan 5, 2023 #303,554 kiduku mpapaso said: Mgonjwa kawa kimya sana Click to expand... Atakuwa kapumzika, pamepoa leo huwa anakuwa kiranja Mkuu humu, panachangamka.
kiduku mpapaso said: Mgonjwa kawa kimya sana Click to expand... Atakuwa kapumzika, pamepoa leo huwa anakuwa kiranja Mkuu humu, panachangamka.
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 6,191 Reaction score 15,919 Jan 5, 2023 #303,555 Bantu Lady said: Antonnia babe unaendeleaje na hali yako? Unamisika Click to expand... Sure,,, alisema hayuko powa, mpigie manually if possible !
Bantu Lady said: Antonnia babe unaendeleaje na hali yako? Unamisika Click to expand... Sure,,, alisema hayuko powa, mpigie manually if possible !
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Jan 5, 2023 #303,556 kitalembwa said: ishu sio kajembe ,,,mkulima awe anajua kukatumia tu utashangaa hekari kadhaa zimelimwa, kazi Kwako karibu Click to expand... Hii ndio kama zile biashara za bei siri 🤓🤓
kitalembwa said: ishu sio kajembe ,,,mkulima awe anajua kukatumia tu utashangaa hekari kadhaa zimelimwa, kazi Kwako karibu Click to expand... Hii ndio kama zile biashara za bei siri 🤓🤓
kiduku mpapaso JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 1,987 Reaction score 4,872 Jan 5, 2023 #303,557 Bantu Lady said: Atakuwa kapumzika, pamepoa leo huwa anakuwa kiranja Mkuu humu, panachangamka. Click to expand... Kabisa mjumbe kokote ulipo pitia huku
Bantu Lady said: Atakuwa kapumzika, pamepoa leo huwa anakuwa kiranja Mkuu humu, panachangamka. Click to expand... Kabisa mjumbe kokote ulipo pitia huku
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Jan 5, 2023 #303,558 Jack Palladino ❤
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Jan 5, 2023 #303,559 Bantu Lady said: Jack Palladino ❤View attachment 2470053 Click to expand... ❤️❤️❤️ Sijawahi kupendwa hivi jamani dooh! Valentina na wenzie walikua hawajui mapenzi kabisa🤣
Bantu Lady said: Jack Palladino ❤View attachment 2470053 Click to expand... ❤️❤️❤️ Sijawahi kupendwa hivi jamani dooh! Valentina na wenzie walikua hawajui mapenzi kabisa🤣
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Jan 5, 2023 #303,560 Jack Palladino said: ❤️❤️❤️ Sijawahi kupendwa hivi jamani dooh! Valentina na wenzie walikua hawajui mapenzi kabisa🤣 Click to expand... Hapa kwa mahaba, umefika babe mpaka utajiuliza ulichelewa wapi. Valentina Anachukua notes mdogo mdogo aje apindue meza 😂😂😂😂
Jack Palladino said: ❤️❤️❤️ Sijawahi kupendwa hivi jamani dooh! Valentina na wenzie walikua hawajui mapenzi kabisa🤣 Click to expand... Hapa kwa mahaba, umefika babe mpaka utajiuliza ulichelewa wapi. Valentina Anachukua notes mdogo mdogo aje apindue meza 😂😂😂😂