Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Mimi aliniPM πKwamba na Jack Palladino yuko hapo kwenye everyone?
Chezea penzi jipya weweπWewe lala bana msitufokee na kelele zenu hizo
Utasikia mkubwa hapangwi;Route ndefu sana hiyo dah
ongeza na hii Mbagala -Kawe .
gari linakuwa limeshona sio poa .
[emoji57]Mimi aliniPM [emoji4]
Kwendeni zenu hukoChezea penzi jipya wewe[emoji28]
Sijui kwann nimechelewa kumjua Bantu Lady πKwendeni zenu huko
Utasikia mkubwa hapangwi;
Abiria turudi nyuma.
Gari ya biashara hii
Kama nakuona vile Kuna kiti?Kama hamna sipandi.kweli kabisa dah
kusimama sio poa .. sipendi bora nigeuze na gari tu .
Usimame kwanzia nyuki hadi Posta mpya duh ...foleni yote ile umeshika bomba duh .
Mtaachana tuSijui kwann nimechelewa kumjua Bantu Lady [emoji28]
Hata siuliziKama nakuona vile Kuna kiti?Kama hamna sipandi.
Tena makonda wanatumind hahhaKama nakuona vile Kuna kiti?Kama hamna sipandi.
ππππ€Έπ€ΈπππππππππͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺHata watoto lazima wapende chemia na kuifaulu amini.
Mtoto rangi ya mtume; mtoto ushepu
Mdogo mdogo unaanza uwekezajiUsijali; ntafanya ivo
Ukizitilia jinsi na huo ushepu.
Umetisha huna C hata mmoja ticha!!!ππππ€Έπ€Έπππππππππͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺ
Hapo hakuna kupisha mtu hata Kama ana miaka mingapi.Hata siulizi
nachungulia tu .. nina seat zangu ππ.
nawashangaa kweli wanaopanda gari stand halafu wanasimama .. Hata niwe na haraka nitawahi kufika tu .
[emoji1787][emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787]good nightSanto sana mkuu!!
Sidaiwi selfii sidaiwi chama nimeolewa na sitoki na mume wa mtu... sasa naweza kurara [emoji42]!!
Enjoy your time guys!!
Nilijua tu, vijana wangu wa jf hawaniangushi hata dk moja, kazi kazi wallahπ€£π€£Jack Palladino I dedicate this song to you my love... β€
Love me like you do by Ellie Goulding... Enjoy π
Mapema sana[emoji1787][emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787]good night
nawapisha yaaniHapo hakuna kupisha mtu hata Kama ana miaka mingapi.