Selfika na JF: Snap it. Show it

Ujumbe mzuri kuufanyia tafakuri. Heri ya mwaka mpya chief!!
 
Heri ya mwaka mpya kwako,
Wanasema jobless atoke tu azurure tu hata kwenda kariakoo tu huenda akapata cha kufanya huko aliko kuliko kujifungia ndani.
Ahsante Sana kaka ake.
😂😂😂😂 Ndiyo najiandaa hapa niende kkoo nikitoka hapo nipitie karume nishangae jioni nipige Hamza kanuni siku iishe.
 
Yani hapo kipenzi Hiyo chat inaelezea aina ya ngozi ya mtu na kitu gani anapaswa atumie..mfano hapo kwenye dry skin best mafuta ya ngozi ni butter.
Oooooh ahsanteee dyadyaaaa, nshasahau mara ya mwsho kupaka mafuta, nikiogaa huyo zanguuu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante Sana kaka ake.
😂😂😂😂 Ndiyo najiandaa hapa niende kkoo nikitoka hapo nipitie karume nishangae jioni nipige Hamza kanuni siku iishe.
Basi kila utakapopita Mungu ataifungua njia na utapata kidogo kwa ajili yako na watu wako mdogo ake🤣
 
Nyie leo wakati natoka home, si nikavaa official code.
Suit 1 matata, rangi ya maziwa, ndani nlivaa manga nyeusi, chini sandols za DIOR, ambazo nyuma zinakua wazi.

Nimetoka tyuuh njee, woiiiiiii watu wamenshangaaa leo, kuanza kunisifiaa, nimechokaa kuna m1 kaniambia eti rangi sio nzuri kwangu, nimependezaa sanaa ila ingekua nyeusi, mwingne kaniambia nimekua km Willow smith.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikavuaa koti, nimebaki na vingnee tyuuh nafka chuo watu wanasemaa ungepatia na koti lakee sasa mbna umenougaaaaa, had wanasema 'best wee vaa official unatokaa mcharoo" sasa had nataman nirud nkavaw koti.

Nweiii kesho navaa official code nyeupee. Na nyeusi ntaenda kukata kitambaa nishonee.

Huhuhuh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maneno bila picha mdogo wangu Dada ako sielewi
 

Embu tuma picha nione maana kuna mtu nimepishana naye mitaa ya extenal hapa kavaa kama unavyosema
 
Kumbe una kamwili kama ka willow smith
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…