Napenda kuwatakia wana selfika wote kheri ya mwaka mpyaaa,
Sina mengi zaidi ya kushukuru kufika hadi siku ya leo, nimepita mengi mazuri na mabaya huu mwaka. Ila leo tuna uaga rasmi.
Hapa JF n nyumbani na Selfika ni chumbani, na wadau wa jukwaa hili ni familia. Pale nilipokosea mnisamehe, mie ni binadamu nna mapungufu na madhaifuu yangu, mnivumilie. Wale wote walio nikosea kwa moyo mkunjufu mie nimewasamehee tuanze upyaaa na tugange yajayo.
Nawapendaaaaa wotee, mnaonipendaaa na mnao nichukiaaa, wotee mie nawapendaaaaa
Happy New Year 2023.
By
cocastic View attachment 2464863
Sent using
Jamii Forums mobile app