Tunashukuru. Hiyo emoji umeficha nini hapo ? Ila hiyo miaka 7 nna wasiwasi nayo. Maana hapo unazungumzia 2012. Simu gani ilikuwa na Kemera yenye megapixel zote hizo za kutoa picha ang'avu kiasi hicho ?