Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,551
- 235,319
Sijawahi kusukakweli kabisa yaani utasifiwa hadi kero .
knotless pia msuko wetu ule .. nimetamni niusuke tenaa.
Wanapenda sana nywele ndefuusiniambie hawapendi
nitanyoa tu kuna vistaili vizuri ... ipo siku
Uje usuke aisee ni tuzuri utapendeza halafu ziwe ndefu zifike kwenye kiunoSijawahi kusuka
Ila nitasuka
Kwa kweli ashukuriwe Mungu Kwa kutupa makomwe
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Asante kwa somo kipenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uje usuke aisee ni tuzuri utapendeza halafu ziwe ndefu zifike kwenye kiuno k
Amen .. Mungu ni mwema
Na mimi Wala situnzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asante kwa somo kipenzi
mie hata kutunza nywele situnzi
ngoja niwe serious tena kwenye nywele .
Leo ni christmas mkuu, inaruhusiwa kutafuna pesa ya ada
utaziweza tu dear[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kama nitaweza hizo hekaheka
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
kumbe eehNa mimi Wala situnzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasuka tu bora liende
Mwenyewe anachotaka ni nywele kichwani
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
zikiwa fupi hazinogi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kama nitaweza hizo hekaheka
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi nimetafuta fundi kila wiki ananisuka, angalau zinakua kuakumbe eeh
mie sizijali sana ... ngoja nianze kuzipenda zirefuke .
hahha huo ubwabwa sijui nani atauleta ..maana sioni kituMimi nimetafuta fundi kila wiki ananisuka, angalau zinakua kua
Ongeza juhudi ya kusuka, mwakani tunapokula ubwabwa uwe na uhair wa maana[emoji3059]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Na hili joto [emoji16]utaziweza tu dear
nikisuka rasta nachagua ndefu .
husuki nyingi
Khaaaahusuki nyingi
chache za kishkaji
mimi nilisuka bunda 5
mbona chacheKhaaaa
Tano????
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zote hizo nibebe kichwani??
Zitanivunja shingo
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app