Katika kutambua umahiri wa baadhi ya wanachama, Jamii Forums inaendelea na mchakato wa kumpata mwanachama bora wa mwaka 2022. Tafadhali piga kura yako ili kumpata mwanachama bora wa mwaka 2022 kwenye Celebrities Forum Kura zitapigwa kwa muda wa siku tano. Mchakato wa kupata majina haya...