Ndiyo mkuu ndio kitega uchumi changu!Hahaha!!Dah hili ua hata nchini kwetu Tanzania [emoji1241]linapatikana?
Linapatikana mkoa gani mkuu?Ndiyo mkuu ndio kitega uchumi changu!
hahaha mimi nilijiachia lolKwakweli tule TU mbinguni tutapewa mwili mpyaπ
Kwa mkoa sana sana siwezi sema ila nyingi ni kwenye green house. Mfano tuseme rose flower zinapatikana mkoa gani haswa ni hakuna!Linapatikana mkoa gani mkuu?
Ooh!!kumbeKwa mkoa sana sana siwezi sema ila nyingi ni kwenye green house. Mfano tuseme rose flower zinapatikana mkoa gani haswa ni hakuna!
Mkuu imekuwaje umejita mnyonya mbu** ? Alafu na hiyo avatar. Dah,siyo sawa asee!!Kwa mkoa sana sana siwezi sema ila nyingi ni kwenye green house. Mfano tuseme rose flower zinapatikana mkoa gani haswa ni hakuna!
πππBora umesema jamani Hadi kumqoute inataka moyo mgumuπππMkuu imekuwaje umejita mnyonya mbu** ? Alafu na hiyo avatar. Dah,siyo sawa asee!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Satoh Hirosh heshimu jina langu.Mkuu imekuwaje umejita mnyonya mbu** ? Alafu na hiyo avatar. Dah,siyo sawa asee!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
nimeingiliwa na ka pepo ka chipsiKwakweli tule TU mbinguni tutapewa mwili mpyaπ
ππUsubir kuvaa size 54 ππnimeingiliwa na ka pepo ka chipsi
Mungu anisaidie lol
naona kavu mbaya na wanapunja naagiza zege ππ ... naomba iwe cravings tu .
No man!! Heshimu wanawake.Satoh Hirosh heshimu jina langu.
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Bora umesema jamani Hadi kumqoute inataka moyo mgumu[emoji23][emoji23][emoji23]
I miss u mamii..πππBora umesema jamani Hadi kumqoute inataka moyo mgumuπππ
Unatafuta kitambi Kwa nguvu zote [emoji16]nimeingiliwa na ka pepo ka chipsi
naona kavu mbaya na wanapunja naagiza zege [emoji38][emoji38] ... naomba iwe cravings tu .
Me too adimu Sana JamaniI miss u mamii..
Cravings ndio mimba?nimeingiliwa na ka pepo ka chipsi
naona kavu mbaya na wanapunja naagiza zege [emoji38][emoji38] ... naomba iwe cravings tu .
nipo mazingira hatarishi nikitoka tu nashawishika π .ππUsubir kuvaa size 54 ππ
Wapi sijawaheshimu mkuu mbona unanipa kesi?No man!! Heshimu wanawake.