Selfika na JF: Snap it. Show it

OMG sijawahi kuisikia hiyo,, yaani JB wanamuweka kwenye orodha ya wanawake?? Tena mbona sasa hivi ndiyo ana mwili wa kiume kabisa na hata hivyo sijawahi kuona aisee hiyo list inapatikana wapi??
Ni kweli mpaka leo wanamuita ni she.. hata orodha ya wanawake maarufu yupo no 7. Mimi angalau barehe ilinisaidia kukomaza sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…