Kweli tena Tumerudi na kuhamishiwa Huku kikazi sasa sitaki tena ujinga wa kukaa mbali na familia mimi!!Aaaah sikuamini wewe kama unataka kuhamia kwetu kweli. Vipi unaenjoy lakini jijini kwetu?
kaka wapi π π nyie mmezaliwa tumbo moja hadi awe kaka yako π πKaka angu hawezi nifundisha hayo
Maadili hayaruhusu
post tako, picha za gari za kazi ganiKweli tena Tumerdi na kuhamishiwa Huku kikazi sasa sitaki tena ujinga wa kukaa mbali na familia mimi!!
Ndio nimekuja kufuatilia process za huku nimeambiwa nichague Wilaya
namuonyesha Soko la Mwanjelwa mama Pasta ili aamini nipo mbeya!!post tako, picha za gari za kazi gani
Nibless wowo basi nilalae shangazinamuonyeshwa Soko la Mwanjelwa mama Pasta ili aamini nipo mbeya!!
Ndio tumezaliwa tumbo moja π€£π€£kaka wapi π π nyie mmezaliwa tumbo moja hadi awe kaka yako π π
Upo Mbeyanamuonyeshwa Soko la Mwanjelwa mama Pasta ili aamini nipo mbeya!!
ππ wapii nyie peaneni mmalize ugwadu.. msifijifanye mnazuga zuga huku mnakiu zenuuNdio tumezaliwa tumbo moja π€£π€£
Anafikiri tumekutana barabaraniNdio tumezaliwa tumbo moja [emoji1787][emoji1787]
Kaka na Dada[emoji1][emoji1] wapii nyie peaneni mmalize ugwadu.. msifijifanye mnazuga zuga huku mnakiu zenuu
kaka na dada wa mchongoo π π π
Nawewe Selfika kwanzaa
Njoo huku Jeshini utanikuta mjomba!umekuja mbeya kimya shangazi nipo hapa mwezi wa tatu, tusalimiane basi
Unapenda baridi eeh?Kweli tena Tumerudi na kuhamishiwa Huku kikazi sasa sitaki tena ujinga wa kukaa mbali na familia mimi!!
Ndio nimekuja kufuatilia process za huku nimeambiwa nichague Wilaya!
Kyela sitaki kuna jotooo balaaaa
π π π Usijali nitakuja alafu huto amini sio nije ulete kiswahili nipo sokoni mala wapiNjoo huku Jeshini utanikuta mjomba!
Anatuchukulia poa huyo
Hapa nipp hoiPole shost , muda unakaribia ila
Mie nakuwaga mzito weekdays kuwahi church expect on Sundays .
Wivu tukaka na dada wa mchongoo π π π