Na kanafaidi si mchezo atiNi vile tu
Wewe ni dadangu
Haki una vidole vizuri
Vimebana safi kabisa
Ka Chalii si kanafaidi asee
Uko vizuri
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Nguo kaka
Sifuagi, nafuliwa na kaka ako😂😂
Siku ya Kwanza lazima upate shida kidogo ila after 2 days hivi unakua unazoea.
Yupi huyo!?Hivi yule mchuchu wetu yukwapi tena?
Shkamoo ShangaziTupo pamoja mjomba..
Tupo pamoja mjomba..
Shangazi umemisika sana
Selfika tafadhali
Jp
HeeeeSifuagi, nafuliwa na kaka ako😂😂
Siku ya Kwanza lazima upate shida kidogo ila after 2 days hivi unakua unazoea.
Miguuni kubandika ni shida, kuna kujikwaa na kuvaa viatu vya kufunika zinaweza sababisha maumivu.Nina kucha ndogo na tufupi kwa mguuni.
Nawaza nikibabandika nitaumia kwa maana nitajikwaa sana
Naona rangi nyeupe inanoga sana miguuni .
Hahaaa yaani labda kwavile me sijazizoea bado, hua zinanipa shida ila badae nafeel tu kawaida.Heeee
Na kusubiri 2 days tena? Aku sitaki
😁😁 si ndio sasa hawa makaka wawili waishi sanaa
Leo nitairudia
Miguuni kubandika ni shida, kuna kujikwaa na kuvaa viatu vya kufunika zinaweza sababisha maumivu.
Yeah inanoga hata red nayo inabamba sana
Morning babegirl ✋!Kweli kabisa ,otherwise uwe unaziwezea ..
Red nayo nzuri haimkatai mtu .
Sasa mm si ndio nitashindwa hata kukata kitunguu? 😀😀Hahaaa yaani labda kwavile me sijazizoea bado, hua zinanipa shida ila badae nafeel tu kawaida.
Naomba tu nisiwe addicted nazo kwakwel japo ukiweka mkono unapendeza😍
Kwakwel nami nawaombea tu sana🤗
Wako poa sana