Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,388
We Auntie,ubwabwa na njegere za buku[emoji1787][emoji39][emoji39]Watu mnakula vizuri ndo maana mna mahips[emoji23][emoji23]
Mwaya kwetu huku ugali dagaa everyday parachichi na ndiz Hadi tuumwe ndo watuleteeπππWe Auntie,ubwabwa na njegere za buku[emoji1787]
Nanparachichi na ndizi ya 100 na tikiti la miatano.
Ila ndizi sikula.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hawezi elewa haya mambo[emoji16]Hiyo kama siyo Mnyaki huwezi ielewa [emoji16][emoji16]
Asante mwayaKaribuuuuuuuu tuinjoi dear!! π
Kalumbuuuu[emoji2][emoji2][emoji2]
Mimi mwenyewe nakula ugali kila sikuMwaya kwetu huku ugali dagaa everyday parachichi na ndiz Hadi tuumwe ndo watuletee[emoji23][emoji23][emoji23]
ππSawaMimi mwenyewe nakula ugali kila siku
Parachichi ndio Jana tu nimekula[emoji16]
Tena dagaa huwa wananenepesha.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa
afternoon mamyyπ!! UmetususajeeeeMadam nakusalimiaππ
Nipo dearafternoon mamyyπ!! Umetususajeeee
Tuone hiyo picha ya BeacoGood morning selfika!!!!
Yaniii walau nioshe macho Mjini kidogo mamy!!Nipo dear
Naona unaenjoy vema likizo
Miye nipo Dom Kiuno nyigu naweeπ Afu imekaa sana Mbona!
Maisha ni haya haya, enjoy to the fullestYaniii walau nioshe macho Mjini kidogo mamy!!
Hebu tuone kwanzaMiye nipo Dom Kiuno nyigu!!π Afu imekaa sana Mbona!
Amen dear Nawe pia enjoy π!Maisha ni haya haya, enjoy to the fullest
Pole Mjukuu, lakini ulisema Likizo si utakuja kumsalimia Bibi yako huku?Umepata zambi ya kunitamanisha huku[emoji39]
Hahaha...........ngoja nikutumie kwa Bluetooth πNyama iko vizuriiii. Hadi nimetaman.
Ukija Likizo kumsalimia Bibi yako atakuandalia, huyo alikuwa kwaajili ya Babu tu π€ͺBabuuu sikubaliiiii namie naomba kukuu wa kukaanga babuu nna njaaa!!πππππ
Hope You enjoyed your weekend granpa!βοΈ
Nafurahi kusikia hivo babuu uwe na Jioni njema!Ukija Likizo kumsalimia Bibi yako atakuandalia, huyo alikuwa kwaajili ya Babu tu [emoji2957]
Weekend ilikuwa njema though ilinikuta nipo shambani kulima [emoji847]