National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Shangazi si ungeniambia nikufate na Benz Langu nikupepele popote unapotaka jamani πππ why upate shida jamaniNiko safarini Shangaz tangu jana ilanawamiss mno
Shangazi sijawahi kupanda Benz si nitaotq mmπππShangazi si ungeniambia nikufate na Benz Langu nikupepele popote unapotaka jamani πππ why upate shida jamani
Kaka Gerald kapita naked jf Kuna wakaka mahandsome bhnaalooooong time.....[emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]View attachment 2440661
Imeniuma sana shangazi mie nipo why upate taabu jamani π’π’Shangazi sijawahi kupanda Benz si nitaotq mmπππ
Unapiga vyombo mkuu
Ndio mkuu Ni mdau mtiifu na mlipa kodiUnapiga vyombo mkuu
Unaenda wapi shemejiSafari inaendelea View attachment 2440706
Una mke Nani akupikie sasaLa kupika [emoji39][emoji39]
Umempenda kuhamishie nguvu huko kwa shemeji mpyaKaka Gerald kapita naked jf Kuna wakaka mahandsome bhnaa
Siku ya uhuru ni kufanya usafi na jogging kijana unapiga vyombo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahha jamn πππmnataka muhamishie makazi huku ππsubirini kwanza nitatoa tamkoUmempenda kuhamishie nguvu huko kwa shemeji mpya
Mzee si uliacha lakini π¬π¬
Naelekea kusini mwa nchiUnaenda wapi shemeji
Anaenda kwa mzee ERoni maana alishatuma na ya kutolea ππUnaenda wapi shemeji
Sawa wasalimie kawakilishe taifa vizur maana ulikuwa umemicNaelekea kusini mwa nchi
Alooo unajua kuwavuruga watu ww shemeji jamanHahha jamn [emoji23][emoji23][emoji23]mnataka muhamishie makazi huku [emoji23][emoji23]subirini kwanza nitatoa tamko
Mapenzi hayapo fair kwa kwanza kutuma na ya kutolea package nono ndio wa kwanza kuhudumiwaAlooo kwahyo Poker kashapigwa chini
[emoji38][emoji38] Kaka nasikitika kukupa taarifa kua nimerudi Ila kwa masharti maalumuMzee si uliacha lakini [emoji51][emoji51]