Habari mabibi na mabwana, kuna binti nilikutana naye kwenye basi nikatokea kuvutiwa na yule binti, bahati nzuri nilimuomba namba akanipa so tukawa tuna wasilina kila siku. Sasa hapa juzi alikuwa anasherehekea birthday yake akaniomba zawadi, tangu tuachane siku hiyo stendi hatujawahi kuonana...