Hatari lakini salama
Hahahaa why babe?
Wapi hiyo mkuu??
Umetokelezeaa...umependeza
Hahah...Sio we na Karma ndio mkae kando?
Subirini kwanza nipate mimi
Nianze mimi, afu me nitamfowadia [emoji7]
Tusiwasikilize bana kwani walikuwa wapi kuomba [emoji23][emoji23]
Milimani sana, moja ya wilaya katika mkoa wa Tanga
U mrembo..Hongera
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio katoka kumaliza diploma ya kuuliza maswali...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki yo nuts!
Lushoto mojaMilimani sana, moja ya wilaya katika mkoa wa Tanga
Hongera sana kiongoziKinyumban zaidView attachment 1264247