Selfika na JF: Snap it. Show it

😅😅😅 Mie huyu natafuta size zangu chini ya miaka 23, humu wengi ni ma ajuza watanifia bure.. unakaa na pisi, ila watu wakikucheki wanaona kama umekaa na mama yako sitaki haya mambo mie
😆😆😆😆😆maajuza ndio wazuri wakikukamata sio rahis kuwaacha
Ni noma yani we jaribu uje kuleta feedback jins mashangazi walivyo mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…