Hilo ndo la msingi potezea tu.
Na hii ndo shida ya watz wengi mtandaoni hawawezi sifia kitu mpaka walinganishe na kuunda teams hawawezi msifia Ali kiba mpaka wamlinganishe na mwanamusic mwingine.
Wote ni wazuri kaka scorpion me mzuri sana lakini haikuwa busara kulinganisha na picha zingine na kuziponda za wengine, haikuwa poa kaka.
Ungeomba tu msamaha yakaisha hapo umechemeka.
Kila mtu ana taste yake wasisemee taste za wengine, hicho ndicho wanachanganya eti kipande cha mguu kimefunika pics zote za viwiliwili vya wadada humu,,,, hata wakisema naona wivu ila hapana nimekataa
Nakubali.
Ila nisichokubaliana nacho ni kusema kila mtu ana mtazamo wake huku anasema kwa kila mwanaume kamili lazima akubaliane nae kwamba miguu ile imefunika picha zote za wadada huku.
Kwahiyo wasiokubaliana nae sio wanaume kamili? Kumbuka kila mtu ana mtazamo wake wa namna anavomuona mtu.
.
Kwa mwanaume mwenye akili hawezi kusifia huku akofanya comparison za kijinga hivyo.
Basi mtu wa namna hiyo mwenye akili za hivo kabla hata haujamuona unaelewa anafananiaje.
Hivi kapost picha yake kweli? Au ameogopa amefunikwa na "Wanaume kamili" waliopost kwenye huu Uzi?
Wote ni wazuri kaka scorpion me mzuri sana lakini haikuwa busara kulinganisha na picha zingine na kuziponda za wengine, haikuwa poa kaka.
Ungeomba tu msamaha yakaisha hapo umechemeka.