Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,390
Yaani hadi kufika nyumbani unakuwa hooi.Kule shida sana , usafiri mgumu
juzi nilipita maeneo hayo jioni ,usafiri wa shida kweli .
habari za Asubuhi ?
MarahabaMorning Daddy
Shikamoo , umeamkaje .
Nipo poa pia .Marahaba
Mimi niko salama kabisa
Hofu kwako
Morning beautiful!Nipo poa pia .
Mungu mwema
Uoicheki boli la Usiku La Japan?? Lilikua hot balaaNipo poa pia .
Mungu mwema
Morning beautiful AMorning beautiful!
Hapana dearUoicheki boli la Usiku La Japan?? Lilikua hot balaa
Huku kwema dear!Morning beautiful A
wazima huko ?
Walishinda... mpira ulikua umechangamkaa kinoma!! Utadhani sio Japan tunaowafahamu nakwambia!Hapana dear
nilirudi hoi
nasikia wameshinda Japan ?
World cup hii haitabirikiWalishinda... mpira ulikua umechangamkaa kinoma!! Utadhani sio Japan tunaowafahamu nakwambia!
Ooh vizuriHuku kwema dear!
Walitoka jana dear walitia hurumaaaa! HawakuaminiiiiWorld cup hii haitabiriki
wanaobet kazi wanayo eeh
ujerumani ndo hawajafuzu eeh ?
Weekend ndio hioo kipenzi utakua wapi??π???Ooh vizuri
weekend imewadia sasa .
Na huku pia kwema dearHuku kwema dear!
maskiniWalitoka jana dear walitia hurumaaaa! Hawakuaminiiii
Weee mwanamke unamaliza mazaga yote hayo lol!πππππNipo kipenzi..karibu tuleView attachment 2433280
nina pa kwenda basi π₯΄Weekend ndio hioo kipenzi utakua wapi??π???
Na Belgium chaliiiiiiii ....wote walitia huruma hawakuaminiiii!!maskini
mpira wahitaji moyo dah inasikitisha
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Namalizaaaaπππ Hadi nacheka haki ya Mungu khaaaa.Weee mwanamke unamaliza mazaga yote hayo lol!πππππ
Kweli mwili haujengwi kwa matofaliii !
Enjoy dear