Wanakua wamemuanza wenyewe!! Anachonikoshaga yee hajaree wala nene nyie semeni msemavyooo yee walaaa hapo tu !!Ndio hivyo kila anapoenda lazima ukute ameliamsha na mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sina jipya hataTusafishe macho
Wewe si wakukosa jipyaSina jipya hata
Nijazeee nijazeee babaa wee nijazeee tyuuuu in coca's voice!! Mwite na WigelekeloWewe si wakukosa jipya
Tena upite live live bila chenga.Nijazeee nijazeee babaa wee nijazeee tyuuuu in coca's voice!! Mwite na Wigelekelo
Itabidi akirudi dada ake Antonnia amuweke chini amfunde:Wachat naye tu stori zingine
Lakini muda wote wanachat naye kumuuliza maswali ya kumuandama
Na kanavyojua kuliamsha[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesoma comments zake huko Uzi wa WC,nipo hoi Kwa kicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Na hio ndio sababu ya ban hayo mazozano huko uzi wa WC!Wachat naye tu stori zingine
Lakini muda wote wanachat naye kumuuliza maswali ya kumuandama
Na kanavyojua kuliamsha[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesoma comments zake huko Uzi wa WC,nipo hoi Kwa kicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wozaaaaa umetisha Sana!!🎶Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboaaasa🎵
Mi ndo fundi wa raha zake natwanga na kukoboa🎼
🎵Alinikumbatiaaaaa
Mkono wa kushoto kwenye gear....🎶
Nilipochuchumiaaaaaa
Maji yakatoka ameloowaaa ameloowaaaaaaa 🎶🎼🎼@Tinsley
Kapachino Wigelekelo
Asante kwa kunijazaaa!✌️✌️✌️Wozaaaaa umetisha Sana!!
Guu Guu!! Hips hips madamme.
Sema Kuna muda huwa kanaanzisha kenyewe hizo mada...kakiona tu mada za hivyo hako kanaruka nayo.Wanakua wamemuanza wenyewe!! Anachonikoshaga yee hajaree wala nene nyie semeni msemavyooo yee walaaa hapo tu !!
SijaonaAsante kwa kunijazaaa![emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Huwa shingo zetu mnazipa tabu Sana tabu nyie viumbeAsante kwa kunijazaaa!✌️✌️✌️
hahahaaa!!Huwa shingo zetu mnazipa tabu Sana tabu nyie viumbe
[emoji2][emoji2]Ndio nimerudi hapa nimeshiba nipo hoii
🥰🥰🥰🎶Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboaaasa🎵
Mi ndo fundi wa raha zake natwanga na kukoboa🎼
🎵Alinikumbatiaaaaa
Mkono wa kushoto kwenye gear....🎶
Nilipochuchumiaaaaaa
Maji yakatoka ameloowaaa ameloowaaaaaaa 🎶🎼🎼 Tinsley
Kapachino Wigelekelo
Konde boy!! A.k.A Jeshiiiii🥰🥰🥰
kaimba nani huo wimbo .
Mara ya kwanza nilivofikaga mjini siunajua jua bana chuo ndo kiliniletahahahaaa!!
sijui chochote kuhusu hizo nyimbo mpaka iwe hit song .Konde boy!! A.k.A Jeshiiiii